Nyumba inauzwa kimara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa kimara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ndeonasiae, Aug 24, 2011.

 1. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eneo ukubwa wa heka mbili lenye nyumba ya kisasa yenye vyumba vitano ikiwemo master bedroom, kitchen, dinning, sitting room, choo na bafu store na study room safi, matank mawili yenye ujazo wa lita elfu 6o, visima 2, Mabanda makubwa ya ngombe na kuku, pia kuna kuku 600 wanaotaga mayai trei 15 kwa siku kuna miti safi na maua na nyumba ndogo ya 2 rooms, bei ni Mil 110. wasiliana na 0716622185 au 0759311775
   
 2. l

  lily JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mie naona mwenye nyumba kasafiri na utaka kuhusu fasta including kuku!
   
 3. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye nyumba anahamia sehemu nyingine kasema hawezi kwenda na kuku.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Vp vyombo vya ndani navyo vinauzwa pamoja?
   
 5. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fidel80,
  Mbona avatar yako haina motion tena?

  Napenda ikiwa kwenye move man.
   
 6. N

  Nesindiso Sir JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimara kubwa ndg yangu. Iko sehemu gani?
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Weka basi hata picha tuione hiyo nyumba?
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Watu wa magamba wamenipiga fitna
   
 9. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ipo kimara bonyokwa.
   
 10. N

  Ndeonasiae Senior Member

  #10
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Updated: kaseme akipatiwa hiyo bei ataondika na nguo zake tu, anaacha hadi furniture
   
Loading...