Natafuta gari ndogo

Just any Car?

Nissan?

Toyota?

Subaru?

Mitsubish?

Ford?

Lexus?

Honda?

Hitach?

Hummer?

Bentley?

BMW?

Audi?

Austin?

Cardillac?

Chevrolet?


Kati ya hizo unaitaka ipi?
 
Starlet ya mwaka gan pls if u dnt mind pls give me full detail and contact if possible
 
<br />
<br />
oky its 0755522209

Why do you expose you mobile number to the public wakati kuna pms! you have to negotiate kwenye PM mkifikana mwafaka ndo mnapeana no. za simu ili kuuziana hiyo gari jamani.
 
Nina Mazda Demio ya mwaka 2003,
Cc 1300,
ndo naitoa bandarini wikiend hii, ushuru tayari,
namba utasajili mwenyewe,
nipe 7.5mil
 
Ninayo TOYOTA DUET
Fuel consumption- 1 litre gives about 10 to 12km.
Price- 6m negotiable.
PM kama any1 intrsted !
 
aisee ninayo mark 11 baloon safi, mziki -na tv ndani inakula wese 8-10/km. Ukinipa 4m nakuachia niende zangu kusoma.
 
@LarryHoover ar u serious?? Au ndio mambo ya kuja kukamatwa na interpol?? BTW unafahamu historia ya LarryHoover, a leader of gangster disciples, a self proclaim reborn mesiah.....alihukumiwa life sentence...isijekuwa unamfuatisha kila kitu?
 
Ninayo Bajaj mpya kabisa haijatembea hata km 10, ila sijui kama nayo ni gari ndogo au ni piki piki!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom