Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mashine mpya kabisa haijatumika full box 10kg Twin tab Ni halali sio ya magendo Bei 450’000 Mwanza mjini 0654447202
1 Reactions
2 Replies
383 Views
Nauza simu zifuatazo kwa bei ya kutupa a.k.a mateke Iphone xr gb 64 price 540,000 iphone xr gb 128 price 600,000 Iphone x gb 64 price 470,000 Iphone xs maxbattery (-)560,000 iphone 11 gb 64 price...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8? Nataka nihamie Mwanza
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafuta Gari aina zilizo tajwa hapo juu.(Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) Offer yangu Million 8.) Gari iwe nzuri haijawahi kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri). Of...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninauza Alizeti, Mashudu ya Alizeti, Mafuta ya Alizeti. Pia, ninayo mahindi mapya mwaka huu, na Mahindi ya mwaka Jana. Alizeti ni ya mwaka Jana. Karibuni sana waungwana. Pia, Kwa ushauri wa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni mkaaji wa Kenya na hapa waganga wengi matapeli tu. Kama kunaye yeyote anajuaye babu wa kweli kutoka pemba, Zanzibar, Moshi, Tanga au sumbawanga Tafadhali inbox me the contacts...
9 Reactions
126 Replies
18K Views
Gari ni yangu mwenyewe Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000 Leather seat Safar automotive New tyres Km 79,000 - OG Gari haina kasoro yoyote Bei 31m Call/watsap 0715140001
6 Reactions
47 Replies
6K Views
Wakuu karibun kwa finishing nzur za nyumba na decoration kwa kutumia rangi za kawaida au modern material Kama con mix,drewa,camsilver,minart decoo,prestige,wall panel,wall moulding,silcoat,palace...
10 Reactions
115 Replies
15K Views
Habari za wakati huu wakuu, Nissan Dualis Cross Rider Price/Bei: 18.8M Nissan Dualis Cross Rider Year: 2008 Engine Capacity:1990cc Automatic Transmission Colour: Silver Sports Rims, New...
3 Reactions
4 Replies
822 Views
Msaada wadau, Nina depo ya bia na soda kubwa tu sasa kuna vijana nimewaajiri wa nne naona vitambi vinawatoka, mashavu dodo na mmoja kanunuaa gari aina ya crown week iliyopita mwingine alinunua...
6 Reactions
98 Replies
20K Views
Ninauza shamba kubwa hekta 18 zilizopimwa karibu na ziwa huku Mwanza jamani nipeni maarifa namna ya kupata wateja linafaa kwa hoteli,kilimo,mifugo na apartments. Nipeni maarifa. 0622290094
1 Reactions
8 Replies
695 Views
Nauza kiwanja kipo Mongola ndege kwa bei ya Milioni Nane (8) kina ukubwa 18×20 Mimi ni muhusika mwenyewe na sio dalali kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani. Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba yenye eneo kubwa inauzwa,ipo Kibaha kwa Mfipa,nyumba Ina vyumba vitatu,zikiwemo master mbili sebule kubwa na jiko. Ukubwa wa eneo ni sqm 700 kwa 210, Hati ipo. Vyote hivyo vinauzwa kwa bei...
1 Reactions
0 Replies
510 Views
Habari! zenu wanajamvi? Kama thread inavyo sema hapo juu Wakuu kunajambo lanitatiza sana Mimi nipo arusha kama ujuavyo watu wa arusha meno yao jinsi yalivyo haya vutii yanarangi Nimetafuta...
0 Reactions
123 Replies
33K Views
Sabufa zunne Offa 55k Moshi mjini 0744883353
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Wadau hivi ni kweli taa hizi za mbu zina uwezo wa kuvuta na nzi. Vipi bei yake halali ni Tsh ngapi
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa bidhaa mbali mbali za magari, kama shock abs, brake pads original, CV JOINTS, piston rings, na tuna spare za suzuki carry original kabisa,simu brand zote, play station, tablets za watoto...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Naomba kuwapa taarifa kuwa nina Laptop nzuri tu ambazo zimetuka na nauza kwa bei simple kabisa! Bei yangu simple sana 1. Lenovo T430 Processor: Interl Core i5 @2.60GHz (4 CPUs) Memory: 6G RAM...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom