Kwanini uhangaike kuita gari la kunyonya maji taka wakati kuna mfumo ambao ukiuweka shimo halitajaa

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
3,954
2,439
Mfumo huu unafaa ktk mazingira yote kama:

1. Sehemu zenye chemchem
2.Sehemu kavu.

Hapa nitaonyesha idadi ya watu na mda wanaoweza kulijaza.
1. Watu 15 - 30 = zaidi ya miaka 60

2.Watu 30 - 100 = zaidi ya miaka 40
3.watu 300 - 1000 watatumia zaidi ya miaka 13 bila kujaa.

Kwa wale wenye shule, car wash na apartments zenye watu wengi mfumo huu ni mkombozi kwenu.
Gharama zake zinatofautiana kidogo sana na mfumo wa kawaida uliozoeleka.
Kwa ushauri na maelezo zaidi wasiliana na FUNDI MAHIRI 0655173113
 
Back
Top Bottom