Natafuta hanger za nguo za mtindo huu

Natafuta hanger za nguo za mtindo huu

KatetiMQ

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2022
Posts
296
Reaction score
607
Habari zenu wana JF poleni na majukumu

Naomba kuuliza hivi hanger za kuwekea nguo kama hizi [emoji116][emoji116][emoji116] zinapatikana wapi kwa hapa dar es salaam na zinauzwa tsh ngapi kwa anayefahamu.

shopping.jpg
 
Kariakoo upande wa msikiti wa manyema 20 kwa sh 5000. Nilinunua zamani kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom