Ndugu zangu naombeni kazi

Ndugu zangu naombeni kazi

Habari wana JF,

Ndugu zangu Naombeni kazi iwe ni kazi ya muda mfupi au mrefu.

Kazi yoyote nipo tayari

Elimu Form 4
Uzoefu : store keeper, packaging

Natanguliza shukrani
Unapatikana wapi? Una miaka mingapi? Una familia? Wewe ni me au ke?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom