Pata karatasi Mondi no 1 kwa shilingi 36,500/=
Bahasha za Manila A4 1000pc@ 66,000/=
Daftari pia zipo.
Vitu vyote vipo kwa bei nzuri sana
Namba zetu ni 0711972446
Karibuni sana
TUNAPATIKANA...
Kwa Kazi nzuri za Aluminium tuwasiliane maboss zangu tuko mbezi, mikoani tunafika pia support yako muhimu Sana kwetu kwa mawasiliano zaid tuwasiliane kwa namba 0653467162
Tanzania Psychological Association(TAPA) ni shirika lisilo la faida (non-Profit Organization) ambalo lina dhamira ya kukuza na kusaidia mafunzo na huduma za kisaikolojia nchini Tanzania.
Chama...
Habari wanajamvi: nahitaji ukumbi wa harusi usiozidi milioni mbili mwezi wa kumi, maeneo ya makumbusho, dar. Isiqe mwenge au mbezi beach au sinza, iwe exactly makumbusho. Anayejua kumbi maeneo...
Shamba linauzwa lipo Mkoa wa Pwani wilaya ya BAGAMOYO,
Shamba lipo barabara ya MLANDIZI BAGAMOYO kijiji kinaitwa Sunguvuni limepakana na ukuta wa kiwanda kipya cha HILL WATER.,shamba linafaa kwa...
Nahitaj frame kwaajili ya cosmetics isizid 300,000 itapendez ikiw chin ya apo maeneo ya Makumbusho/ Sinza/ Magomeni kiufupi sehem ilochangamka hapa Dar
Jamani natafuta maduka yanayoweza kuuza ingredients za kutengeneza wine. Kwa kifupi kuna ingredient naitafuta inaitwa CAMPDEN.
Nimeshasumbua kichwa kutafuta mpaka nimechoka.
Msaada tafadhali
🌳 PLOT FOR SALE IN CHAMAZI REAL-ESTATE
_________________________________
#Mladi mpya wa viwanja uliopo chamazi mbande Kilometer 1.5 kutoka uwanja wa mpira wa azam ( AZAMCOMPLEX) .
🌳 Mladi wenye...
Habari za uzima Ndugu zangu , Nina Maharagwe mazuri Sana yanayolimwa Sana Kilimanjaro , yanaitwa "Karianzee" ni Quality Sana kuyashinda hata Maharagwe ya Njano ila kutokana na kutojulikana watu...
Kuna ombwe la mafundi kutekeleza kwa uhaba kazi uejzi wa nyumba za wadau mbalimbali ,hii Ni pamoja na uaminifu wa mali za wateja zinakuwa mashakani kwa asilimia kubwa.
Sasa suluhisho ni Uvimo...
Samsung Galaxy A54 5G
Inauzwa imetumika mwezi moja,
Haina shida yeyote,
Ina warrant ya miaka miwili.
Hizi ni baadhi ya specs zake.
Reased 2023, March 24
202g, 8.2mm thickness
Android 13, One UI...
Eneo Lina nyumba mbili ya mbele ina fremu 5 na vyumba 6 vya wapangaji. Na nyumba ya nyuma ni yakuishi ina vyumba 2 sebure, dinning na valanda.
N.B Unaweza ivunja na kujenga shell, hotel...
Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja...
Nauza gari yangu, aina ya Toyota IST,
Cc 1200, yani mafuta kidogo umbali mwingi, Gari ni nzuri sana, nimeitunza vizuri sana, bei naanzia 8.8M, maongezi kidogo yapo.
Gari ipo Mwanza, ni cheki kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.