Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Sasa unaweza kupata Nyumba za kupanga, Apartments, Frames na Viwanja katika maeneo yote ya Makongo juu. Nyumba zenye hadhi tofauti na Bei tofauti. Wasiliana nami kwa 0743941142.
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wadau wa kilimo nchini tafadhari karibuni Mashine ni Diesel Engine HP 16 2200 RPM Uzito wa body na Engine jumla ni Kg 165 Inauwezo wa kupiga Kg 1000 kwa saa inafaa kwa kupigia Alizeti...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Paua na Mabati ya Super Quality Tanzania. Hakuna mbamba mikoani tunatuma. Tunapatikana Dar es Salaam maeneo ya Karakana TAZARA Simu: +255768549206
0 Reactions
2 Replies
472 Views
Ewe mzazi unakosaje furaha na simu yako uwapo nyumbani??? Njoo tukuondolee hilo tatizo analokusumbua mwanao kwa kumpatia Laptop ya Watoto itakayokufanya uwe huru. UWEZO WAKE: √ Zinatumia mfumo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unakiwanja, shamba au nyumba utapost kwenye uzi huu. Ili iwe rahisi kwa ajili ya wanunuzi na wauzaji. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
33 Replies
7K Views
[emoji91]MRADI MPYA KIBADA ~~>SHANGWE[emoji817] KM 8 KUTOKA FERRY MITA 600 KUTOKA BARABARA YA KIBADA/MJIMWEMA [emoji117]UKUBWA: SQM 500/600/1000 [emoji117]BEI: TSH,55,000/= @ SQM1...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Me ni Fundi wa Alcobond Napatikana Sinza Mori ndo ofisi yangu ilipo karibuni sana hizi ni baadhi ya kazi zangu mkoa wowote nafika Mawasiliano Yangu 0759117175 0717751175
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Habari wanaForums, Nauza pallet kwa matumizi mbalimbali. Zinapatikana Mwanza, pasiansi. Bei kwa kila pallet ni Tsh.5000 kwa maelezo zaidi: 0672883431
2 Reactions
7 Replies
768 Views
Jipatie hii laptop HDD 500 Gb, RAM 4GB, Intel Celeron 1.6Ghz Inakaa na charge mpaka masaa mawili na nusu kutegemeana na matumizi. Bei Tsh 230,000. Napatikana kinondoni vijana. Simu 0765137266...
2 Reactions
3 Replies
736 Views
IMPORTANT NOTE : Hakuna dalali! Eneo liko baada tu ya roundabout ya kuingia Bagamoyo (kituo cha daladala cha Kosovo) na ni hapo hapo barabarani. Eneo lina ukubwa wa 120 * 93 (m), kuna nyumba ya...
3 Reactions
5 Replies
822 Views
.
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Natafuta order za kusafirisha mizigo mkoani na semi trela 0622925955
0 Reactions
5 Replies
790 Views
habari wana jf . nauza kiwanja changu kinachopatikana mbezi mji mpya karibu na stendi ya magufuli terminal. kiwanja kina ukubwa wa futi 60x50 average sio square. Bei ni 15,000,000 maongezi yapo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nauza Shamba hekari mia moja(100) lipo Mkoa wa Singida Wilaya ya MANYONI. Shamba lipo Kilometa Saba(7) kutoka Manyoni Mjini ni mwendo wa barabara ya lami na pia Shamba kutoka lami kuingia shamba...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
MODEL: Boxer MODEL NUMBER: BM 125 LOCATION: Tegeta, DSM Iko vizuri kabisa na ENGINE haijawahi kuguswa Ina registration card BEI: 1,100,000/= maongezi yapo NICHEKI PM KWA MAWASILIANO ZAIDI
1 Reactions
2 Replies
767 Views
MITAMBO YA BIOGAS Karibuni , Tuwajengee mtambo wa Biogas kulingana na Mahitaji yako, iwe nyumbani, mashule, Bar, . Mitambo hii inatumia vinyesi vya wanyama, Kama ,ng'ombe, kuku,kondoo na wanyama...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu habari? Vibaka wameniotea bwana wakaamua kuniachia box lake tu, sasa nimezunguka kuitafuta nmekosa. Kama kuna duka kwa DSM hapa nielekezeni ase.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja kina ukubwa wa 1000 sqm Bei 75ml Kiwanja kimepimwa na kina hati, maeneo mazuri na majirani pia wako vizr Maelezo zaidi 0756060183
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba ni ya pili kutoka lami na ina vyumba 4 vyote ni self. Ukubwa wa Eneo ni 4200 sqm Nyumba ipo kwenye Eneo kubwa na kama inavyoonekana kwenye picha kuna shamba pia. Hati ipo. Bei 370m...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Back
Top Bottom