Natafuta kiwanja maeneo ya Goba

Natafuta kiwanja maeneo ya Goba

Jagermaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
654
Reaction score
321
Habari wana JF
Natafuta kiwanja eneo la Goba Dar Es Salaam chenye ukubwa wa medium au low density, pia kisiwe kwenye mwinuko mkali. Mwenye kuwa nacho anipm pamoja na bei anayokiuza.

Natanguliza shukrani.
 
Kama uko serious check namba hii utapata taarifa kamili 0714624175
 
Habari wana JF
Natafuta kiwanja eneo la Goba Dar es Salaam chenye ukubwa wa medium au low density, pia kisiwe kwenye mwinuko mkali. Mwenye kuwa nacho anipm pamoja na bei anayokiuza
Natanguliza shukrani
Bado unahitaji kiwanja goba...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom