Wandugu kuna toshiba mpyaaa kabisa yauzwa specs hizi hapa.....
BRAND NAME: TOSHIBA,PENTIUM P6100
RAM: 2.48 GB
PROCESSOR: 1.6GHZ
HARD DISC: 500GB
DISPLAY: 15.6'
DVD: SUPER MULTI DRIVE
COLOUR:BLACK...
nauza simu aina ya hp iPAQ data messenger.ni nzuri kwa wafanya biashara sababu ni pocket pc.bei yake ni laki mbili na nusu(250,000) lakini kuna maelewano.kwa mawasiliano piga 0773664660
Nauza nyumba Mbz Msakuzi haijapailiwa ina vyumba 3,kimoja master,jiko, choo,sitting na uwanja wake ni 20x34 bei inaanzia 20Mil.
seriuos buyer can contact fmx6@yahoo.com
Ni Power Tiller aina ya VST SHAKTI MITSUBISHI POWER TILLER 130 di from India wiith full impliments 1.5Ton Trailor, Rotovator, Mould Board Plough,Harrow, Cage Wheels and a set tools (Tool box)...
GENERAL 2G
Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G
Network HSDPA 900 / 2100 HSDPA 850 / 900 / 2100 Announced 2010, February Status Available. Released 2010, July BODY Dimensions 117 x 60 x 12.5...
Mambo vipi wadau? Mbwa wanauzwa pure Germany Shepherd tarehe 18, feb,2012 wanatimiza miezi miwili. Wamebaki watatu. Bei ni Tshs 300,000/= kwa mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464 0762 101 178
MSAADA....... MSAADA....... MSAADA....Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye...
lipo katika kijiji cha lugwadu wilaya ya mkuranga. Ni km 6 kutoka barabara kuu ya kongowe kigamboni na km 24 kutoka ferry na km 8 kutoka kongowe. Shamba lina ninazi mikinda na mikorosho...
hi wakali,
nina kiassignment changu cha ghafla porini na ninahitaji moja kati ya magari hayo mawili hapo juu...
itategemea lenye hali nzuri na bei ya sale.....
nissan patrol iwe ya pump ya...
Heshima wakuu, ninahitaji kwa mwenye nalo shamba hata kama ni pori lenye ukubwa wa eka tano kama zimepungua pia tuwasiliane tu.. ziwe nje ya dar na pembezoni ama karibu ya ufukwe. natanguliza...
Ukubwa nusu eka( mita 70 kwa mita 35) maji na umeme yapo jirani,kipo umbali wa mita 100 kutoka main road Kanisa la kkkt lipo karibu. Bei ni milioni 30.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.