Kama unahitaji mtaalamu wa kukuchorea ramani ya nyumba na mambo mbalimbali anapatikana kwa namba hii 0768891102 au 0714160222 kwa bei nzur na uchoraj wa kiwango cha juu kabisa.
c.v and qualifications please,,
c.v and qualifications please,,
Kwa kile kitu ulichonifyatulia cha Kibada, nimeamini we ni Mkali
Mkuu, hawa watu sio professional. They are just draftman and not Architect. Wanauza ramani za nyumba hata kwa buku! Wanacheza sana na weledi wa watu!
Now this is battle: Architect-E.M vs Lonesome.
Now this is battle: Architect-E.M vs Lonesome.
Mkuu hii ni zaidi ya tunavyofikiria. Wakati kuna mtu amekamua miaka mi5 chuo kikuu kufundishwa uchoraji wa ramani, kuna aliyekwenda veta kujifunza kuitafsiri ramani ili awe fundi mzuri, nae anajiita mtaalamu. Ni upuuzi kabisa maana wanachezea weledi wa watu!
asante mkuu kwa kuendelea kuwaelimisha wananchi,,, u r one among the very best great thinkers, who value peoples proffesionals
Acheni majungu., waacheni hao madraft man wawasaidie watu, nyie mnaojiita maArchitect bei zenu zipo juu.
Leonardo da Vinci alisoma shule ipi?