Msaada meli ya mv Victoria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada meli ya mv Victoria

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Zuia Sayayi, Jan 7, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jmn msaada kwa anefaham ratba ya mv victoria ya mwanza i mean cku gan na mda gan? Husafiri.?
   
 2. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  1.J3,J5 na Ijumaa inakuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza
  2.J2,J4 na Alhamis inakuwa inatoka Mwanza kwenda Bukoba

  Muda wa kuondoka ni saa nne usiku.Muda wa kuingia nikuanzaia saa moja usiku.

  SAFARI NJEMA
   
 3. jonal rashidi

  jonal rashidi Senior Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ubarikiwe
   
 4. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,744
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Dah! Kweli Jf ina kila k2...
   
Loading...