jipatie gari kwa bei poa

nikweli mim niko hapa japan office yangu iko dar es salaam nanunua magari kwenye minada na kuwatumia wateja hivyo kila gari linapatika hapa kwabei nzuri.
 
Nissan Xtrail, ya mwaka 2004 ama 2005, Automatic, Petrol, 4W, rangi nyeupe ama silver bei gani?
 
cipacio ya mwaka 2003 M 12 shillings cami m 13 ya 2003 Raum m 12 ya 2003 Hiace CIF zinaanzia 8,000$ mpaka 30,000$ inategeme na Rate pia ukitaja mwaka nitakupa bei ya kodi na kila kitu
 
nisasan Xtrail ya mwaka 2004 2005 kodi yake 50% 15, m shillings ya 2003 14 m shillings
 
Hilux double cabin 2.8,diesel au petrol manual bei ya kodi na kunua inategemea mwaka hivyo ni kuanzia 9.00$ mpaka 25,000$ FOB
 
Suzuki carry ya mwaka 2002 - 2003 bei gani?
Naomba bei ya manual na automatic.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom