Nokia n900, sokoni

Nokia n900, sokoni

Ka2pain

Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
97
Reaction score
26
WanajaJF,., Kama nilivyoeleza,. kwa mtu yeyote ambaye atakuwa akihitaji hiyo 4n,.(nokia N900), ANI'PM. Usihofu bei ni maelewano. Ipo kwenye hali nzuri.
 
Hili sio jukwaa la matangazo. . .

Alafu ungeweka specs na bei ya kuanzia. Au mtu akikwambia ana 100 000 utampa simu?
 
mkuu jibu PM zetu basi ikiwezekana tufanye biashara,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom