Nahitaji pikipiki ya kununua,

Nahitaji pikipiki ya kununua,

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,707
Reaction score
6,948
Iwe ni orijino halafu kubwa (japanes model zaid),iwe katika hali nzuri,
niko serious kabisa kwa mwenye nayo ntatoa namba yangu ya simu,
 
ipo honda steed cc 600 plug 4 inarejeta tairi la nyuma kubwa imetembea kilometre 17000 una sh ngapi ipo dar ea salaam
 
Nitafte kwenye namba 0755098159
 
Iwe ni orijino halafu kubwa (japanes model zaid),iwe katika hali nzuri,
niko serious kabisa kwa mwenye nayo ntatoa namba yangu ya simu,

nenda dukani, mkononi utaliwa tu.
Unawezakuta imepigwa mahali ukaangushiwa jumba bovu!!!!
 
picha ya piki piki hio hapo kama upo interested HONDA STEED (6).jpg honda2.jpg honda2.jpg honda2.jpg
 
bei si kubwa kaka kama umeipenda sema dau nikiridhisa nakuachia usiwe na wasiwasi kitu kipo poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom