Je unahitaji Training DVD za kujifunza kutumia computer au program bila kwenda darasani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unahitaji Training DVD za kujifunza kutumia computer au program bila kwenda darasani?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Michael Amon, Jan 3, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Habari njema kwa watanzania wote. Kampuni ya Young Master Supplies & General Enterprises inakuletea training DVD ambazo zitakuwezesha wewe Mtanzania kuweza kujifunza kutumia computer au program yoyote ukiwa nyumbani kwako au ofisini na kukufanya wewe kuwa mtaalamu wa kutumia computer au program husika bila ya kuwa na haja ya kwenda darasani.

  Training DVD hizo zimeandaliwa kwa umakini mkubwa na wataalamu waliobobea katika fani ya computer na kutengenezwa na makampuni maarafu duniani yanayoongoza kwa kutoa mafunzo online.

  Tunazo training DVD mbali mbali zitakazo kuwezesha wewe kuweza kujifunza kutumia computer au software flani. Eg: Introduction to computer, Microsodt Office 2003/2007/2010, Networking, Adobe, PC repair and meaintenance, web designing, Graphics designing n.k. Training DVD zote zinapatikana kwa bei nafuu kabisa ya sh.10,000/= kwa training DVD moja na utaletewa training DVD hiyo popote ulipo ndani ya siku saba baada ya kutoa order. Kwa wale ambao wapo nje ya jiji la Arusha itabidi kutoa malipo ya ziada kwa ajili ya gharama za usafirishaji na gharama hizo zitategemea na mahali ulipo.

  Kwa order au maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia anwani zilizopo hapo chini.

  Contacts:
  Mobile: +255789 884 221
  E-mail: youngmasterent@gmail.com
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Tunazo training DVD kuhusu kitu chochote kinachohusu computer. Kwa maelezo zaidi au kuweka order tafadhali wasiliana nasi kupitia anwani zetu zilizopo hapo juu.
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Pia kama una swali au ushauri kuhusiana na training DVD zetu usisite kuwasiliana nasi
   
 4. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Je? naweza pata soft copy ya hivo dvd maana niko mbali ingekuwa poa kama ungenitumia kwa email nami nikalipa kwa M-PESA
  TUNAWEZA KUKUBALIANA TU
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe uko wapi na unahitaji Training DVD gani?
   
 6. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimekutumia e mail kaka check your inbox
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Sijaona e-mail yoyote kutoka kwako mkuu.
   
 9. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  NIMETUMIA
  youngmasterent@gmail.com AU SI YA KWAKO?
   
 10. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkuu Arusha mna ofisi au tutumie mawasiliano.
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Ofisi zipo lakini bila mawasiliano mtatupataje?
   
Loading...