Ninauza kiwanja hakijapimwa,Kipo Kibada mbele ya kigambo njia ya kuelekea Kisarawe Dar es salaam,Ukubwa robo Heka,Bei 3m maelewano yapo,Mauzo yatafanyika chini ya usimamizi wa Serikari ya...
Kipo Buyuni karibu na Chanika,unapita Pugu Secondary.
barabara ni za uhakika zilichongwa na wizara wakati wa upimaji...sasa hivi kuna mradi mkubwa wa nyumba za PSPF kwenye maeneo haya unendelea...
Ndugu wanaJF
Vipo viwanja sabini vyenye ukubwa wa sqm 700, 900, 1200 eneo liitwalo Kwembe. Ni 3km kamili kutoka morogoro road upande wa kushoto kama unatokea DSM. Viwanja vimegawanywa na mmiliki...
Habari njaema kwa watanzania,viwanja na mashamba vinauzwa maeneo ya zavara na kipawa mpya.vimepimwa na widhara ya arhi ,vina hati.kwa mawasiliano namba ni voda....
JF,
Ipo katika hali nzuri.inafanya kazi vizuri, maintanance yake ni ya kawaida sana haisumbui sumbui.
ni two stroke. bei ni 1,800,000.
ukiwa serious tunaweza ongea zaidi.
Mhitaji ani PM.
Ipo katika hali nzuri.inafanya kazi vizuri, maintanance yake ni ya kawaida sana haisumbui sumbui.
ni two stroke. bei ni 1,800,000.
ukiwa serious tunaweza ongea zaidi.
Mhitaji ani PM.
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 20/20. kipo karibu na shule ya mshingi na kituo cha polisi cha mapinga.
bei ni milioni 5. kama upo tayari tuwasiliane kwa 0716 174949 ili nikupeleke ukakione.
Wandugu,
Nimerudi. Nipo serious kama kwenye tangazo langu la awali. Natafuta Kiwanja ukubwa iwe Square metre kuanzia 1200 to 1500. Maeneo yawe kuanzia Tabata yote, Kisukuru mpaka Segerea. Majumba...
Wana JF,
Nakuja kwenu naomba mnisaidie mwanaJF mwenzenu mkopo WA Mil 6, hata kwa riba ambapo nitaanza kulipa baada ya mwezi mmoja. Nina gari na kiwanja. Gari daladala naweza kuacha kadi...
Nyumba inapangishwa Kimara Temboni kwa Tshs. 250,000 kwa mwezi ; 2rms and one big master bedroom, sitting and a dining room, public wash room, kitchen, store. The house will be available by end...
Ndugu zangu,
Natafuta magari mawili USED na yawe Tanzania. Either in a show room or personal.
1. Toyota Harrier 2000 to 2002 make, 2200cc, 5 doors, radio, CD player, SRS airbag
2. Toyota Mark X...
Habarini wanaJF,siku za nyuma (mwaka jana) kulikuwa na thread iliyohusu namba za kuweza kuzuia cm yako isipatikane endapo mtu anakupigia au kutuma meseji bila ya kuzima,simu inakuwa hewani kama...
Wiki ilioyopita nliuza used bajaj yangu 2stroke(miguu 3) kwa 1.5ml
sasa nauza na zilizobakia kwa bei chee tsh 1ml na 1.8ml zipo 2 na zinafanya kazi moja ya 2010 nyingine ya zamani kidogo
tafuta...
Nauza sukari kilombero 25kgs kwa shilingi 48,500/= kwa wanunuzi wa Dar tuu. usafiri kwako oder isipungue mifuko 100. piga simu 0683-501-203 wahi haraka kuna stock kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.