Nyumba inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by torres0909, Jan 17, 2012.

 1. t

  torres0909 Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Nyumba inauzwa ipo Dodoma, maeneo ya Chinangali West, Block 11. Ina hati na Building permit, na ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 30x30.
   

  Attached Files:

 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  soma HAPA kabla hujaweka bandiko lako
   
 3. t

  torres0909 Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Ok nimekuelewa mkuu, Me nadhani tutafutane katika 0767260885 kwa chochote utakachohitaji.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inaonekana watu mnapenda kutafutwa kweli.

  Si uweke details zote mtu akikutafuta awe angalau ana uhakika kidogo kwamba uwezo anao na nyumba inamfaa?
   
 5. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nyumba yako sasa kinachokuogopesha keweka bei ni nini!??? Unauza kwa bei za kifisadi?? weka bei hapa ili watu wamwage uwazi wao kuhusu eneo hilo kwa wanaolijua. au unaona raha kupigiwa simu tu hata kama hakuna kitakachofanyika!!
   
 6. t

  torres0909 Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Nyumba inauzwa 30 Milioni tu.
   
 7. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mimi nashangaa wafanya business wa bongo!mwaga kila kitu!pia ujue namba yako hatuihitaji ukiweka bei anayehitaji atakujibu hapa hapa mtaelewana!kwa nini ufiche fiche bei?au ipo juu sana unaona noma kuisema hadharani?
   
 8. Tores

  Tores JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 425
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  watu bana wananishangaza sana baadala ya kuweka maelezo ya kutosha ...anatoa namba ya sim.
   
Loading...