Tractor linatakiwa

Tractor linatakiwa

SIMBA mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
204
Reaction score
100
Natafuta tractor la kulima shamba la ukubwa wa ekari 25, shamba lipo wilaya ya Kisarawe, kupitia njia ya Chanika.

Tafadhali kama unalo au unajua mtu mwenye biashara hiyo naomba mawasiliano nao.
 
Yupo mhusika wa hilo humu!! alikuwa anatafuta tenda we saka tu kwenye thread zilizopita
 
TZS50,000/= kwa ekari moja na inategemeana na umbali wa shamba lenyewe, kama upo tayari ni PM
 
Back
Top Bottom