kiwanja kinauzwa ostabay maeneo ya coco beach 450usd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiwanja kinauzwa ostabay maeneo ya coco beach 450usd

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MBUFYA, Jan 22, 2012.

 1. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kiwanja hiki kina ukubwa wa 4000sqmetres. kina hati, anaye hitaji ani pm.
   
 2. K

  Kiganda Senior Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nakihitaji nitakupa 500usd, 50usd cha juu.
   
 3. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Is 4000 s m inclusive of the beach area? rember the 60m beach line exclusion according to the law!
   
 4. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wakuu hapo kuna makosa, nimekosea ni millions 450 za kimarekani call me 0715397770
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hueleweki
  dola milioni 450
  au dola laki 4 na nusu?
  picha hamna?
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bado umekosea tena, halafu jibu hilo swali hapo juu
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Hata hiyo bado umekosea, viwanja vya Tanzania havijafikia bei hiyo. Fanya homework yako vizuri.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  450,000,000 x 1,600 = ????????
   
 9. +255

  +255 JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Kiwanja US$ 450 Ml?! Hata Manji sidhani ka atanunua?!
   
 10. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyu ni dalali tuu!naona amechanganyikiwa,manake hiyo bei haieleweki hata kidogo!mwambie mwenye data kamili awape wadau wapambane!
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Nadhani alitaka kuandika US$ 4.5m,

  Ambavyo mkapa alivigawa kwa bei ya kutupa, sijui mwenyewe na jamaa zake walijichukulia vingapi.
   
 12. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwa bei hiyo kajenge mwenyewe
   
 13. V

  VAMPA Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu hicho kiwanja nakijua, bei yake ni bilion nne na nusu za kitanzania.
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama unakijua funguka basi utueleze kiko sehemu gani haswa!!
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Aise, nilidhani USD 450 Kama ulivyotangaza kwenye heading, ningekufuata kokote unakopatikana.
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Bil. 4.5 za kitanzania ni sawa na thamani ya kampuni ya precision air. Hizi bei za viwanja Tanzania zinakuwa set kwa kutumia formula gani?
   
 17. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kwa bei hiyo nikishanunua najengewa au?
   
 18. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Viwanja vile viliuzwa kwa watumishi wa serikali kwa milioni za kitanzania 32. Na kwa sheria, mmiliki haruhusiwi kubadilisha jina kwenye hati au kukichukulia mkopo benki kwa muda wa miaka 25, ingawa wapo wengi wanaochakachua sheria hiyo; inawezekana huyo anayekiuza ni mtumishi aliyejichokea kimaisha, anaona isiwe tabu, akamate mamilioni yake akajenge nyumba yake kinyerezi au boko, na kuanzisha mradi wa kuku, boda boda n.k, ili mradi siku ziende. Vinginevyo kuna faida gani kuishi katika nyumba mbele ya ufukwe wa bahari, maeneo ya uzunguni, huku hauna hata senti tano mfukoni baada ya kustaafu ukurugenzi wa idara ya nyuki wizara ya maliasili au mkurugenzi wa ajira, wizara ya vijana?
   
 19. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huu ni mwaka wa 3 toka nianze kujitegemea sijaweza kusave 2m ntaweza kununua 4.5bilion uwanja tu?
   
Loading...