milango quality.

milango quality.

lugono

New Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
1
Reaction score
0
unahitaji milango yenye ubora kwa mbao za mkongo na mninga kwa bei nafuu sana?tuwasiliane tafadhali.
 
Ungetuwekea bei, tukiwasiliana tunajuwa hatupotezeani muda wa kupatana. Usiwe kama wafanya biashara wa kizamani, unaweka picha hapa, size za milango, bei zake. Mambo yanakuwa mazuuuri, hata anaekupigia unajuwa huyu hakupotezei muda.
 
Siku hizi kusema kitu ni bei nafuu imekua fasheni.
Yaani hata hujui wenzio wanauzaje, we unakuja na bei zako na kuziita ni nafuu.
Anyway issue iko hivi, tunajua mitaani wanauzaje hiyo milango,
so we weka bei yako tulinganishe na mitaani ili kama rahisi tuongee biashara
 
Kwenye suala la ubora kwenye mbao ni ngumu kulinganisha (sana sana za hardwood).......
 
Ungetuwekea bei, tukiwasiliana tunajuwa hatupotezeani muda wa kupatana. Usiwe kama wafanya biashara wa kizamani, unaweka picha hapa, size za milango, bei zake. Mambo yanakuwa mazuuuri, hata anaekupigia unajuwa huyu hakupotezei muda.
FF umekuwa kila wakati ukitoa darasa jinsi ya mtu anavyotakiwa kufanya anapo tangaza kuuza vitu vyake lakini ni kama unampigia mbuzi gitaa,hizo ni biashara local sasa unategemea watu kama hawa wataweza kufanya biashara za kimataifa?kazi ipo,tutazidi kuwa wapiga porojo tu,kila kitu hatuwezi!!
 
Jamani siku hizi, kamera si za kutafuta, asilimia 90 ya simu zina kamera.

Raha ya Tanzania ni kuwa, "demand" iko so high na hakuna "michuano" (competition) za kibiashara na huduma, ngojeni tu, wachina wanaongezeka, waturuki wanaongezeka, msije mkasema tumeachwa nyuma. Msingi mzuri ndio hujenga nyumba yenye kuhimili dhoruba.
 
Kwenye suala la ubora kwenye mbao ni ngumu kulinganisha (sana sana za hardwood).......

Ugumu uko wapi hapo??
Tunalinganisha bei ya mninga wake na wa mtaani,
Au bei ya mkongo wake na wa mtaani.
SIMPLE
 
Back
Top Bottom