Nyumba 2 zinauzwwa zina hati na zipo kwenye viwanja vinavyofuatana

Logik

Member
Jan 17, 2012
32
4
Nyumba mbili zenye ukubwa wa sqm 627 zinauzwa zote kwa pamoja. Zipo Sinza 'E' karibu na Lion Hotel zina hati.Picha nitatuma,kwa mwenye uhitaji anaweza kuwasiliana na mwenye nyumba hizo kwa namba 0755/0715 476 215. Hakuna Dalali bei 450,000,000/= mazungumzo anakaribisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom