Mashirt kutoka savile row co london

punguzo

Member
Jul 9, 2011
51
6
Ndugu wadau
kuna Mashirt ya kiofisi na casual kutoka SAVILE ROW COLONDON, DEHAVILLAND NA VENTUNO 21 katika mtandao wa shilingishop.blogspot.com
Jamani tuwaunge mkono na kuwapa support wajasiriamali wadogowadogo
Mdau
 
Wekezi bei wazi ,mbona baadhi ya nguo zina bei halafu unasema tuandike email ili kujua bei kulikoni. hiyo mashine ya kumenya viazi nimeipenda l wekeni bei tujipime hasa hayo masharti ya kule kwa mzee wa suti za Offer!
 
ingependeza kama tungejua bei kabisa, tutawaunga mkono bila kujua bei wajameni?
 
[QUOTE hiyo mashine ya kumenya viazi nimeipenda l wekeni bei tujipime hasa hayo masharti ya kule kwa mzee wa suti za Offer! ][/QUOTE]
Kama unahitaji hiyo mashine ya kumenyea Viazi Tuwasiliane kupitia hii email Mkuu; shilingishop@gmail.com

ingependeza kama tungejua bei kabisa, tutawaunga mkono bila kujua bei wajameni?

Kuhusu Bei ya Mashirt, yanabei Tofauti, hayo ya Savile Row ni shilingi 100,000/= kwa kila moja. Ni original kabisa, mazuri na hayachuji kama yale ya wachina Wakuu!
aksanteni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom