Tunatafuta Tailor mzuri wa nguo za kiAfrica

Tunatafuta Tailor mzuri wa nguo za kiAfrica

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,273
Tunatafuta mtu bora ambaye anaweza mashati bora ya kiafrika. Unatakiwa mzigo mkubwa unaoweza kuuzwa kwenye maduka makubwa nchi za nje. Sisi ndio tutaamua rangi. Pia tunauliza pia kama kuna duka lolote la mavazi ya kiafrika. Naomba mwenye taarifa anitumie namba yake ya simu. Itakuwa vizuri kama unajua kiingereza.
 
Back
Top Bottom