House For Rent (Sharing Bases) Mbezi Tangi Bovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House For Rent (Sharing Bases) Mbezi Tangi Bovu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bond James, Jan 11, 2012.

 1. Bond James

  Bond James Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF kheri ya mwaka mpya,

  Kuna nyumba inapangishwa Mbezi Beach (Tangi Bovu) (Please note sharing basese)

  Nyumba nzima ina pangishwa kwa kodi ya laki tatu kwa mwezi, (300,000.00) kama kuna mtu anataka kupanga ili muwe wawili
  wawili kwa kulipa kodi ya 150,000.00 kila mwezi, kila moja please call this number 0757-291560.

  Nymba ina vyumba vitatu vya kulala including, sebule kubwa, dining room, jiko

  Please hakuna dalali anayetakiwa
   
 2. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  kwa nini unalazimisha iwe sharing basis?
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye red sijakuelewa
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Unaweza kufungishwa ndoa kinyemela hapo.mi ni mdada huyo patner ni he au ni she ?
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ni she:rant:
   
 6. Bond James

  Bond James Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali nzuri (sharing basis means.....) badala ya kulipa kodi ya mwaka kodi ya mwaka 3,600,000.00 kwa mtu mmoja, wakati ni nyumba ni kubwa, watu wawili changangia hiyo gharama ya kodi. Kama wote ni wastaarabu hakuna mambo ya ndoa
   
 7. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu tunaweza pata picha za hiyo nyumba
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mkuu Kodi unachukua kwa muda gani? Kila baada ya mwezi au Miezi au mwaka?
   
 9. Bond James

  Bond James Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hata nyumba ya kupanga, mnataka picha? Jamani pungunzeni ushabeki. Kodi inayotakiwa ni ya mwaka kwa kila mtu.
   
 10. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  miie nshapata tayari japo mafuriko yalibisha hodi kwa mbaaaali
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ingekua muonekano sio muhimu watu wasingekua wanaenda kuangalia kabla ya kusema wanapenda au la. Kama unafanya biashara na uko serious endana na matakwa ya wateja, na usisahau kutumia common sense.
   
Loading...