Nauza Water Pump Ya Petrol, nimeitumia kwa muda wa miezi miwili. Ina kila viunganishi vyake, iko katika hali nzuri sana na haina tatizo lolote, atakayenunua ntampa na mipira yake ya kuvutia na...
Wadau ninechoka na Mafundi wa Uswahilini ambao wao hutengeneza Magari kwa kubahatisha. Natafuta Fundi mzuri wa Mechanics hapa Bongo anayetumia vifaa vya Kisasa kufanya Diagnostics kama Computer...
Nauza TOYOTA Vtz ,rangi ya kijani yenye namba T 364 BFD. Nimeiokota imeletwa na maji ya maafriko.Haina kadi ya gari wala nn! bei maelewano. aliyekua tayari kuinunua aniPM.
Wakuu salam,
Natafuta blackberry 8520 mpya ikiwa na accessories zake zote. bajeti yangu ni 250,000/= negotiable
kama una hiyo simu unipm au piga 0718637491.
mkuu marty unahusika sana hapa
Nyumba self contained inapangishwa Kimara Temboni. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen, store na eneo la takribani ekari moja linalofaa kwa kilimo...
Ni mpya kabisa.
Inafaa zaidi kwa matumizi ya Internet caf'e, ofisi au home.
Inatumia SIM card ya aina yeyote(mtandao wowote).
Gurantee 2yrs
Bei ni maelewano.
Ni'PM.
Samsung Galaxy SII
16GB onboard storage
1.2 GHz dual. core processor
Android 2.3.3
Will include 4GB microSD card and leather flip case
All in immaculate condition.
TShs. 800,000.00
Call...
Nyumba ina vyumba vitatu (3),chumba kimoja ni self.,store, jiko, sitting and dining rooms.
Maji na Umeme vipo kwa uhakika.
Nyumba ipo WEST NKUHUNGU, DODOMA.
KAMA UNAHITAJI, NI PM.
Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri.
Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu.
Asante.
Nauza modem ya Zantel Huawei EC 122 CDMA USB Stick Tsh 30,000 tu,pia nipo tayari kubadilishana na modem ya Airtel au Vodacom model yoyote,kwa mawasiliano 0786 585 490,nipo Jiji la Mafuriko Dar
jamani wana Jf nina motorola droid pro XT610 nililetewa toka usa sasa ina lock zao nimepeleka kariakoo kwa mafundi imeshindikana mwenye utaalamu anisaidie nifanyeje model yake ni 353635040948354
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.