kati ya nokia x201 na nokia n73

ngosha2011

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
681
87
msaada jamani kati ya nokia n73 na nokia x201 ipi simu nzuri zaidi?ushauri kabla sijanunua
 
msaada jamani kati ya nokia n73 na nokia x201 ipi simu nzuri zaidi?ushauri kabla sijanunua

mkuu,kama ni nokia x201,ile pana ina button kama ya blackberry,sio kivile,specs kama za nokia za kawaida sema ina screen kubwa,net sehemu ya memory cars na usb,unless ni simu ya kawaida sana tunanunua button,size ya kioo na appearance yake.ila ya kawaida sana,hii n73 sina experience kubwa.
 
Angalia zina vitu gani kuanzia OS hadi aplication ndo utajua ipi itakufaa
 
x201 ina os ya symbian s40,na n73 ina os s60 3rd edition,kweli kwa usem wako mkuu x201 2nanunulia keypad na screen tu,
 
tatizo cjajua hyo eseries znaenda kwa ngapi,coz uchumi wangu haupo mkubwa sana,
 
kama unapenda sauti kubwa kimbilia x2 lakini kwa ukweli mimi nimepitia hizo nimependa eseries kuna e63,e71 zinapatikana kwa 150000-200000.(ubaya wa eseries ni speaker zinauwezo mdogo sana)
 
utata wa n73 ni kale ka''analog'' button pale kati... Zinasumbuaga...Ila ni simu nzuri sanaa... designed for taking clear pictures, good perfomance..
 
Hakuna kama nokia n73, ninayo tangu 2008 mpaka leo hakuna k2 kichoharibika! Ni rahsi kutumia, ina specs bora zaidi
 
Sasa jamani wadau,me ndio mshamba kabisa kwenye haya mambo ya simu,ila nataka simu ya nokia yenye button sio touchscreen,halafu yenye screen pana na yenye uwezo mkubwa wa kusuport internet,nishaurini ipi nichukue na bei yake kama kuna mtu anaufahamu zaidi na hilo.
 
x2 inawezo mzuri wa intarnet kulinga nisha na pesa unayo nunua.ukitaka vyenye mambo kidogo tafuta e71,e63,e72,e52. Dukani sijajua ngapi lakn used na hali nzuri ni baina ya 150000 na 250000.ukitaka nitakupa namba za watu wanaouza.
 
Back
Top Bottom