natafuta fundi wa printer

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,360
ndugu zangu wana jf, heshima kwenu,,, nina printer yangu aina ya hp deskjet series 1220C, inatatizo la kukata moto, yani unaiconnect kwenye umeme, then after some seconds inajizima yenyewe,,,mwenye kujua wapi ntapata fundi mzuri wa printer, ama mwanajamvi anaedeal na hivi vitu, maana najua i.t n comp science expatriets mpo wengi humu ndani, pliizz help me out,, napatikana sinza A daresalaam,
natanguliza shukrani za dhatu
 
Mkuu kuna jamaa yupo hapa k/koo huwa anatengeneza sana hivyo vitu. anaitwa sule(suleiman) mcheki kwa namba hii kama anaweza kukusaidia;
0719835384. kama atashindwa sema nikutafutie mwingine lakini huyu ndo huwa mbabe wao. Mia
 
Hako ka printer katupe tu. Katakugharimu muda na matengenezo kuliko kununuwa mpya.
 
Mkuu kuna jamaa yupo hapa k/koo huwa anatengeneza sana hivyo vitu. anaitwa sule(suleiman) mcheki kwa namba hii kama anaweza kukusaidia;
0719835384. kama atashindwa sema nikutafutie mwingine lakini huyu ndo huwa mbabe wao. Mia

asante sana mkuu,,,,, ntampigia,, na nikifanikiwa ntatoa feedbak,, thanxx alot
 
Hako ka printer katupe tu. Katakugharimu muda na matengenezo kuliko kununuwa mpya.

dah, dada yangu ff, printer mpya yenye uwezo wa kuprina karatasi kubwa A3, sio chini ya shillingi laki nane,,, dont u think its worth it kujaribu kuirekebisha??
 
hukunielewa ndugu yangu,, i meant printer mpya ndio laki nane, sio kwamba yangu ndio mpya

Kama ina zaidi ya miaka 3 tupa, itakusumbuwa sana, hivi hujui kuwa vitu vya electronic vyte vina lifa span? life span yake ni mwisho wa warranty baada ya hapo hakina faida kwako kukitengeneza, tazama vitabu vyako vya "accounts" ina value gani kwa sasa? kwanza imeshakuwa oudated.

Watanzania kwa kupenda kurundika makorokoro ndio maana hamuendelei. Tupa weka kitu mpya na bora zaidi, kama kazi yako ni kama id yako, weka plotter achana na vi printer hivi vya kijinga, weka laser printer.

Ushauri wa bure, kama haujauelewa leo utauelewa baada ya miaka 10 kuanzia leo.
 
Back
Top Bottom