Nauza iphone 4s nyeupe mpya

Jason91011

New Member
Jan 9, 2012
2
0
Nauza iphone 4s nyuepe mpya kwenye box lake, mnunuzi Wa uwakika anipigie simu 0717100474,bei majadiliano. shukrani. Jason
 
weka bei, na specification zake kama unauza kweli, ukitaka kwa njia ya simu waandikie sms watu kama wafanyavyo tigo.
 
Nauza iphone 4s nyuepe mpya kwenye box lake, mnunuzi Wa uwakika anipigie simu 0717100474,bei majadiliano. shukrani. Jason

Pambaf...........sasa unaona ''phone 4s nyuepe mpya kwenye box lake'' ni maelezo tosha kabisa kumvutia mteja?

Halafu kwanini usiweke hata bei ya kuanzia ili mtu ajipime mwenyewe kabla ya kupiga simu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom