D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 257 Jan 9, 2012 #1 WanaJF nina asali ya kutosha na iko sokoni. Natafuta soko la jumla kama Lita 400. Pls.
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,543 Jan 9, 2012 #2 Unauza bei gani mkuu? Je imekaguliwa na kuidhinishwa kwa matumizi na mamlaka husika?
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,372 Reaction score 5,129 Jan 9, 2012 #3 dotto said: WanaJF nina asali ya kutosha na iko sokoni. Natafuta soko la jumla kama Lita 400. Pls. Click to expand... Ukiweza mtafute Kasopa kwa PM, anaweza kukusaidia.
dotto said: WanaJF nina asali ya kutosha na iko sokoni. Natafuta soko la jumla kama Lita 400. Pls. Click to expand... Ukiweza mtafute Kasopa kwa PM, anaweza kukusaidia.
Mabagala JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,477 Reaction score 327 Jan 9, 2012 #4 mi nahitaji lita tano tu
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Jan 9, 2012 #5 Soko la asali lipo Kenya mkuu.
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 159 Jan 10, 2012 #6 Weka sifa ya asali kama mbich au imepikwa.nyuki wadogo au wa kubwa.pia bei kwa lita sh. ngapi?
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 257 Jan 11, 2012 Thread starter #7 tizo1 said: Weka sifa ya asali kama mbich au imepikwa.nyuki wadogo au wa kubwa.pia bei kwa lita sh. ngapi? Click to expand... Ni ya nyuki wakubwa, mbichi, humidy ni 17.8% to 18% na bei tunaelewana.
tizo1 said: Weka sifa ya asali kama mbich au imepikwa.nyuki wadogo au wa kubwa.pia bei kwa lita sh. ngapi? Click to expand... Ni ya nyuki wakubwa, mbichi, humidy ni 17.8% to 18% na bei tunaelewana.