Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Inahitajika suzuki esucudo milango mitano iliyoko kwenye hali nzuri. Iwe automatic (4-cylinder). Budget 7M mwenye nayo ani PM tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
blackberry curve 8520-beí 250,000.bold 9780-400,000. Htc sense - 500,000/=. I-phone 4 black na white-bei 800,000/=. And others. Simu:0713656256
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenyu wanajamvi.ebwana natafuta fundi wa chaga za kitanda changu zilizovunjika jana wakati mimi na mama nginaa tukisheherekea sikukuu ya wapendanao,yeyote anayemfahamu fundi anijuze kwa PM...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu inahitajika gari ndogo ya matumizi ya hapa mjini Dar es Salaam ambayo matumizi ya mafuta ni ikonomiko. Iwe katika hali nzuri na iwe inatembea. Iwe hapa hapa Dar bajeti mil 4. Kwa walio...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Gari niya mwaka 2006,petrol engine,imetembea km 72,000. Bei ni Mil 13.5 Kwa anayehi ani pm kwa 0713 869692
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada kwa wenye kujua tatizo hili kwa balckberry, nilikuwa na download nimbuzz nilipomaliza ikaniambia ni restart phone, baada ya ku irestart haiwaki tena, ikiwaka ikifika kwenye initialising...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza cmu iphone mchina imepasuka display.Ila mawasiliano iko poa.Bei maelewano mwisho 50000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
DOBEA SMART CONSULT is a part of DOBEA GROUP Ltd providing Business Development, research and Consultancy services. It was officially registered under the companies act no.12 of 2002 with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba hii imebakia kupauliwa, ina vyumba 3, jiko, sitingroom, dining na vyoo ndani. Ipo bunju b kama mita 500 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo. Haina dalali ni ya jamaa yangu wa karibu sana...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Msaada kwa wenye kujua tatizo hili kwa balckberry, nilikuwa na download nimbuzz nilipomaliza ikaniambia ni restart phone, baada ya ku irestart haiwaki tena, ikiwaka ikifika kwenye initialising...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Yoyote anayeuza iPod touch
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Hii ni jenereta ndogo original ya kizamani inauzwa. Inapatikana moshi mjini ni nzuri kwa kifupi ni jiwe, inatumia lita 3 full tank. Haina dalali nilikuwa nafanya nayo biashara pale mo town sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Viwanja mbezi msakuzi vinauzwa mita 22*22 mil 3, 22*25 mil 3.5 and 26*40 mil 6 umeme upo na barabara nzuri mpaka viwanjani (piga 0715055577 au 0769055577 kwa taarifa zaidi)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ina vyumba 14, na mbele ina ki-apartment cha vyumba viwili na choo INAFAA KWA HOSTEL iko maeneo na majengo moshi ( baada ya makubalianao itafanyiwa marekebisho) +255 768-390-212
0 Reactions
4 Replies
1K Views
lipo lugwagu km 7 kutoka barabara ya lami iendayo kongowe kituo cha mwembe mtengu. Unaweza kupitia ferry ambo ni km 20 kutoka kivukoni hadi kwenye junction ya kuingia shambani na km 4 kutoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Four Prime beach plots from 1209sqm, 1400sqm, 1245sqm and 1400sqm are up for sale at a rate of $65 per sqm! These plots are on second/third line from the sandy beach plots! Experience the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipo Ukuni, Bagamoyo, mita 200 kutoka barabara ya Dar-Bagamoyo. Ukubwa wa Sq 628 @ Tshs. 17m Kimepimwa na kina document zote halali. Upo msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, dining, etc. MIDDLEMEN...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hii picha nimedowload knye mtandao. msaada kwa anaejua uimara na ubovu wa hizi gari kabla sijaingia chaka kina cc 1290 kinauzwa 7.5M nataka nikitest ila nahofia kisijekuwa ni sampuli za Bajaji
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu anayeuza hii kitu, anitafute through 0688210770
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Any one who need any type on iphone or blackberry email me on emilrama@gmail.com or pin:228CA8B0
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Back
Top Bottom