CHUMBA NA SEBULE kinapangishwa mbezi beach Jogoo

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
685
Wakubwa kuna chumba na sebule na choo chake ndani kinapangishwa maeneo ya mbezi beach (ya chini)
kutoka nyumba ilipo na barabara kuu ni 1KM . Hicho chumba na sebule vipo ndani ya fensi gari hata kumi unapark
Bei ni tsh 180,000 wanapokea kwa mwaka. kama utahitaji niPM

Natanguliza shukurani
 
Ngoja niwaambie majita wangu wa east zoo maana naona siku hizi wamesizi.
 
Wakubwa kuna chumba na sebule na choo chake ndani kinapangishwa maeneo ya mbezi beach (ya chini)
kutoka nyumba ilipo na barabara kuu ni 1KM . Hicho chumba na sebule vipo ndani ya fensi gari hata kumi unapark
Bei ni tsh 180,000 wanapokea kwa mwaka. kama utahitaji niPM

Natanguliza shukurani

Mama Tibwita vipi 150,000 hailipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom