Unataka Kufungua Blackberry au I-Phone ya Uingeleza , USA na China? Muone huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unataka Kufungua Blackberry au I-Phone ya Uingeleza , USA na China? Muone huyu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mgt software, Mar 22, 2012.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  anayetaka kufungua simu kutoka nje, au yenye magonjwa mbali mbai kama kuzima, kuondoa taka taka Muone Mwesiga wa Empress Cinema na Kariakoo aggrey, naponesha sana, na eti ndio mwanzilishi wa Technologia ya utengenezaji wa simu nchini, ana uzoefu wa miaka kumi na mbili kwenye GSM technology, anapatikana kwa namba 0658-501807 .
  ana kadi za iphone 4s gevey kadi mpya wahi amebakiza chache
   
 2. j

  jobseeker Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii nchi ya uingeleza iko pande gani?
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  unasema ni mwanzilishi wa technology ya utengenaji simu nchini !!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anaweza kufungua Blackberry Storm II za Verizon USA?
   
 5. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mm ikiharbka natupa! we unataka unilie ela!
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  I don think so
   
 7. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  uingeleza ndo nini?
   
 8. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 341
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nilipeleka BB Storm ya Verizon akachemka.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  tujifunze kuandika matangazo
   
 10. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  wewe acha uongo, yule jamaa ni hatari sana , kalete tena, ila usiwe umeweza mEP counter zero, hiyo haitapona kabisa,
  Yule anayesema Uingeleza ninini ni kule nchi za watu weupe
   
 11. Minda Mambo

  Minda Mambo Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Hizo zote ni njia za kusaka tonge tu, acheni kujipa sifa msizokuwa nazo wakat mafundi wapo wengi na wazuri zaid huku kitaa.
   
Loading...