paying guest needed

paying guest needed

Da Asia

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
731
Reaction score
819
wapendwa wana JF nahitaji mtu wa kupanga kwenye nyumba ninayoishi. nina chumba kimoja kiko wazi full furnished.
yeye ni kuingia kulala. nahitaji kijana au dada ambaye ndio anaanza maisha hana chochote, au mtu aliyepata transfer na yuko katika harakati za kutafuta chumba. tutashare chakula pamoja, lakini anakaribishwa kupika atakachojisikia. charge yangu ni maelewano. kama kuna mtu yuko interested ani PM. asante wan JF
 
Kumbuka kufanya utafiti wa historia ya atokako. Usije pangisha jambazi ukawa umempa funguo. Ukitoka kwenda kazini urudi na kukuta nyumba nyeupe na uliowaacha naye wamefungwa kamba...
Leo nimesikia taarifa redioni, kuwa majambazi wamekuja na trick ya kuwarubuni wadada wa kazi kimapenzi na kutoa ahadi kibao ili wapate access na nyumba za matajiri zao... Very shocking, be wary of who you are welcoming.
Otherwise, wastaarabu wako wengi tu, utafanikiwa kumpata ukiwa makini.

All the best.
 
Mh huu upangishaji mwisho wake ni ama kuwa wamoja au kuwekeana nyimbo za Mzee Yusuph
 
Da Asia una familia au uko solo ili mi niPIGE mistari wewe uimbe korasi.
 
wapendwa wana JF nahitaji mtu wa kupanga kwenye nyumba ninayoishi. nina chumba kimoja kiko wazi full furnished.
yeye ni kuingia kulala. nahitaji kijana au dada ambaye ndio anaanza maisha hana chochote, au mtu aliyepata transfer na yuko katika harakati za kutafuta chumba. tutashare chakula pamoja, lakini anakaribishwa kupika atakachojisikia. charge yangu ni maelewano. kama kuna mtu yuko interested ani PM. asante wan JF

Mbona tunakuPM lakin hujibu?
 
sorry, labda sifafanua vizuri. ninaposema mtu anayeanza maisha means, katoka chuo ndio ameanza kazi, hivyo anajulikana wapi ameajiriwa. aliyepata transfer ina maana ana ajira ya kueleweka amepata uhamisho kuja Dar, hivyo badala ya kukaa hotelii wakati anatafuta nyumba naweza kum accommodate at a very reasonable rate on half board basis kwa malipo ya kila siku. asokua na kazi ya kueleweka "mission town" sitamuhitaji.

Kumbuka kufanya utafiti wa historia ya atokako. Usije pangisha jambazi ukawa umempa funguo. Ukitoka kwenda kazini urudi na kukuta nyumba nyeupe na uliowaacha naye wamefungwa kamba...
Leo nimesikia taarifa redioni, kuwa majambazi wamekuja na trick ya kuwarubuni wadada wa kazi kimapenzi na kutoa ahadi kibao ili wapate access na nyumba za matajiri zao... Very shocking, be wary of who you are welcoming.
Otherwise, wastaarabu wako wengi tu, utafanikiwa kumpata ukiwa makini.

All the best.
 
nieleze unataka nini sio unanipa namba yako ya simu nikupigie halafu tuanze kusumbuana. nyumba iko Dar wilaya ya kinondoni. half board basis, unalipa kwa siku. bei tutaelewana. nahitaji wanaoanza maisha mwenye vaqjira au alopewa transfer na anatafuta nyumba. sihitaji mtu kwa kuja kukaa mwaka mzima an asokua na kazi ya kuajiriwa.

malipo kwa siku ni kiasi gani Bibie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom