HURRY UP!!! Bold 9700 @ 250,000 ni used but haina scratch kabisa

HURRY UP!!! Bold 9700 @ 250,000 ni used but haina scratch kabisa

Guarantee ipo? kama ndiyo, miezi mingapi?
 
Kumbe wewe hauna ofisi?....kwa hiyo mtu akigundua simu ina tatizo wakat we ushachapa lapa inakuwa imekula kwake!...dah! Laki mbili ni pesa nyingi sana kuitupa namna hiyo!

Bora umemjibu Amoeba, asante sana.
 
Back
Top Bottom