wapi ntapata sticker zakubandika ukutani badala ya kupaka rangi

networker

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
570
Reaction score
217
wakuu naombeni msaada wenu wapi ntapata sticker za kuweka ukutani badala ya kupaga rangi nyumba.na bei pia ikiwezekana kwa square meter ni shilingi ngapi.hapa dar
 
hizo zinaitwa wallpapers ..... nadhani game wanazo na kuna maduka kariakoo
 
Kaka zinaitwa wall papers,kama alivyosema mdau pale Game zipo za kumwaga lakini mi nimeona si nzuri ,huenda ungeenda Nairobi unaweza pata nyingi na aina tofauti,pia jaribu kule Chang'ombe magodown ukifika Veta chang'ombe nbele kidogo kata kulia kwenye viwanda kuna kama supermarket ya vifaa vya ujenzi vya kisasa utapata ,jina nimesahau hat kwenye mtandao lipo ,hangaika kidogo ku google
 
goodone
 
Nunua bablishi za rain bow utapata stika za kumwaga.
MP.
 
Back
Top Bottom