TZS 3 Million gari ndogo ya kutembelea!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Nina hii fedha, namimi nataka kujikomboa walau niwe na kausafiri kakunirahisishia kuwahi ofcn. Naomba mwenye kuuza anicheck tufanye biashara. Liwe kwenye good condition tafadhali.
 
Mkuu angalia wasije kukuuzia mkangafu,unaendesha siku mbili ya tatu unapaki mazima,anyway ngoja waje wenyewe.
 
Ungekuwa na 4.5 tungefanya biashara ya Nissan March, iko poa sana. Too bad budget yako hailipi kwangu. Natumai atapatikana wa kukuuzia.
 
Nashukuru mkuu kwa kutoa angalizo. Ikishindikana itabdi niendelee na daladala afu niweke haka kaakiba kwenye kilimo kwanza.
Mkuu angalia wasije kukuuzia mkangafu,unaendesha siku mbili ya tatu unapaki mazima,anyway ngoja waje wenyewe.
 
Back
Top Bottom