Asus Eee Pad Slider 32 GB Tablet inauzwa wapi hapa Dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asus Eee Pad Slider 32 GB Tablet inauzwa wapi hapa Dar?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mfianchi, Mar 25, 2012.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Wajameni kuna mdau aliwahi kusema hapa jamvini kuwa kati ya tablet nzuri ,Asus Eee Pad Slider 32GB ni tablet nzuri sana,na kweli nimebofya nimeona ni nzuri yaani ni kama Min laptop vile,sasa nauliza kwa hapa Dar inaweza patikana wapi na kwa bei ya kiasi gani,nauuliza hasa hiyo ya 32 GB na sio ya 16 GB.
   
Loading...