Kabachubya
Member
- Oct 6, 2009
- 87
- 10
Mambo vipi wana JR? Natafuta rottweiler puppies au mbwa wakubwa, kama kuna mtu ana information yoyote wanakopatikana naomba anisaidie. wakiwa wamecross nayo sio mbaya kupunguza ukali.
Kwa mawasiliano: 0717 123464
Kwa mawasiliano: 0717 123464