Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hello natafuta payroll software bomba kwa ajili ya my company.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta nyumba ya kupanga, iwe Tabata Kinyerezi, iwe na vyumba viwili, sebule, jiko na choo. Parking ni ya muhimu. Mwenye nyumba awe tayar kupokea miezi sita na isizidi laki 2 kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wote...Natafuta shamba lenye mazingira mazuri nikimaanisha maji ya kutosha mahali popote tu, ili nifanikishe project yangu..Kama kuna mtu ambaye anaweza nisaidia kwa hili..Tafadhali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
peugeot 405 Diesel Transimition manual Model salon If ur interested call me or pm 0719004668
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wale wajanja wa mjini nimetoka USA na saa za ukweli rolex na box lake origina usd 800 pia na SECTOR SGE 500 sport watch bei laki 6 pm me
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji chupa tupu za kioo (glass) ninazo nyingi naziuza kwa Dar Es Salaam.Anayehitaji awasiliane nami.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Helooo mambo vipizz?? kwa wale watakao hitaji cement jumla na reja reja inapatikana Aina ya cement ni lucky cement, Cement ni ya uhakika na inatoka nje!! Nadhani kwa wanayo ifahamu washanielewa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
mkanda wa kupunguza mafuta na kuondoa kitambi unauzwa bei elfu 80
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba ya kupanga ipo ARUSHA Mjini Fire-Daraja mbili,self contained,ina maji na umeme, jiko na baraza.BEI ni maelewano.Simu 0713988677.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hbr wana Jamii forums, ningependa kujua kati ya pajero jr na rav 4 short chasis ipi ni imara zaidi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani (sokoni, kazini)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau naomba mwenye kufahamu jinsi gani naweza pata 'USER MANUAL YA TOYOTA GAIA 2000" iliyoandikwa kwa Kingereza. Niliagiza mzigo japani na ukaja fresh sasa manual book iliyopo imeandikwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu, @A4 TSH 9000 nahitaji 3.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
simu inauzwa ndugu wadau Bado ipo katika hali nzuri Bei ya kawaida kabisa 180,000 haina longolongo...Haina kushusha U can google it for more clarificatio Achana na ile ya keypad naongelea ile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
New Star times decoder for sale (Decoder, In door Antenna, and remote) price Tshs 40,000/= call me on 0757-291560
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni nyumba kubwa ina vyumba 8. ipo barabarani kabisa gari inaingia mpaka ndani . uwanja ni mkubwa iko pembeni kabisa ya bara bara ya lami. pia nyumba nyingine inauzwa kinondoni shamba. Tuwasiliane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
iphone 4 mpya inauzwa bei 1m mwisho lak 9 kma wahitaji nipm
0 Reactions
0 Replies
835 Views
imetumika , bado ina hari nzuri na inafanya kazi bei 700,000/= 0657 14 5555, 0755 099 291, 0686 200117
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF natafuta Sim Tajwa Hapo Juu Mwenye Nayo Nijulishe Plis
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Igoma - nyuma ya St. Mary Schools, ukubwa ni meta 30 x 40; hakujapimwa ila tayari kuna raia wengi wamejenga huko. Mwenye kuhitaji anitumie Pm na kama kuna swali linakaribishwa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau? Mbwa wanauzwa pure Germany Shepherd tarehe 13, April,2012 wanatimiza miezi miwili. Amebaki jike mmoja. Bei ni Tshs 300,000/=. kwa mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464, 0762 101 178
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…