natafuta nyumba ya kupanga, iwe Tabata Kinyerezi, iwe na vyumba viwili, sebule, jiko na choo. Parking ni ya muhimu. Mwenye nyumba awe tayar kupokea miezi sita na isizidi laki 2 kwa mwezi
Habari wadau wote...Natafuta shamba lenye mazingira mazuri nikimaanisha maji ya kutosha mahali popote tu, ili nifanikishe project yangu..Kama kuna mtu ambaye anaweza nisaidia kwa hili..Tafadhali...
Helooo
mambo vipizz?? kwa wale watakao hitaji cement jumla na reja reja inapatikana
Aina ya cement ni lucky cement, Cement ni ya uhakika na inatoka nje!! Nadhani kwa wanayo ifahamu washanielewa...
Habari wadau naomba mwenye kufahamu jinsi gani naweza pata 'USER MANUAL YA TOYOTA GAIA 2000" iliyoandikwa kwa Kingereza. Niliagiza mzigo japani na ukaja fresh sasa manual book iliyopo imeandikwa...
simu inauzwa ndugu wadau
Bado ipo katika hali nzuri
Bei ya kawaida kabisa 180,000 haina longolongo...Haina kushusha
U can google it for more clarificatio
Achana na ile ya keypad naongelea ile...
Ni nyumba kubwa ina vyumba 8. ipo barabarani kabisa gari inaingia mpaka ndani . uwanja ni mkubwa iko pembeni kabisa ya bara bara ya lami. pia nyumba nyingine inauzwa kinondoni shamba.
Tuwasiliane...
Kiwanja kipo Igoma - nyuma ya St. Mary Schools, ukubwa ni meta 30 x 40; hakujapimwa ila tayari kuna raia wengi wamejenga huko.
Mwenye kuhitaji anitumie Pm na kama kuna swali linakaribishwa.
Mambo vipi wadau? Mbwa wanauzwa pure Germany Shepherd tarehe 13, April,2012 wanatimiza miezi miwili. Amebaki jike mmoja. Bei ni Tshs 300,000/=.
kwa mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464, 0762 101 178
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.