Nahitaji user manual ya toyota gaia 2000-kwa kingereza

ELX

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
328
379
Habari wadau naomba mwenye kufahamu jinsi gani naweza pata 'USER MANUAL YA TOYOTA GAIA 2000" iliyoandikwa kwa Kingereza. Niliagiza mzigo japani na ukaja fresh sasa manual book iliyopo imeandikwa Kijapani ambapo naona yote meusi tu. Nikaona kwa vile wadau hapa kuna wataalam wanaweza nipa msaada zaidi. Nahitaji kulijua gari lenyewe vizuri zaidi, maana huwa kuna maelezo mazuri ya kina kuhusu gari.
 
Jaribu kusearch ktk net utapata tu ila nadhani ya muhimu ni service manual kuliko user manual..
 
Back
Top Bottom