Pappies pure germany shepherd dog wanauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pappies pure germany shepherd dog wanauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kabachubya, Mar 21, 2012.

 1. K

  Kabachubya Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mambo vipi wadau? Mbwa wanauzwa pure Germany Shepherd tarehe 13, April,2012 wanatimiza miezi miwili. Amebaki jike mmoja. Bei ni Tshs 300,000/=.

  kwa mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464, 0762 101 178
   
 2. s

  sithole JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu ingependeza kama ungeweka picha za hao puppies,na wazaz wao pia!ili tuwaone!
   
 3. s

  sithole JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu hao puppies bado wapo?kuna jamaa yangu anahitaji mmoja!na unapatikana nchi gani?na mji gani?
   
 4. K

  Kabachubya Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Bado yupo amebaki jike mmoja, bei nayo itategemea wakati mnakuja kumchukua.
   
Loading...