Nahitaji A4 urgently. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji A4 urgently.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by HAMY-D, Apr 18, 2012.

 1. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Husika na kichwa hapo juu, @A4 TSH 9000 nahitaji 3.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Watanzania kweli kazi tunayo!
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  sasa uletewe wapi na 3 tu huoni kama ni hasara kwa anaye supply?
   
 4. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu are you serious.., hivi hapo karibu ulipo hakuna stationery au duka la stationery.., hivi kweli kama mimi nipo timbuktu hata kama nauza kwa elfu 5, mpaka ifike kwako si itakuwa elfu 15 ?

  Mkuu mi nilidhani unataka container la 20ft au cartons kuanzia 40 ?

  Mkuu hata kwako kama ream ni elfu 10, nunua sababu transport tu kama mtu atakutumia ni zaidi ya hio buku unayotaka ku-save

  Unless umegundua jinsi ya ku-upload hivi A4 ili mtu aweze kudownload (nakushauri nenda duka la karibu na ulipo
   
 5. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Yani hii nchi mtaendelea kuwa maskini mpaka makaburini mwenu kutakuwa na dhiki, nilitarajia kuulizwa huko wapi tufanye biashara ila ni mijilawama ya ajabu, okay ngoja niwalahisishie, hapa nilipo zinauzwa tsh 13000 na kuna maeneo zinauzwa bei niliyoiweka hapo, so kama kuna mtu yupo willing hata container nitaagiza ili kuwauzia hata hawa wanaouza bei ya juu. Usikurupuke kuchangia hoja ambayo unaona mchango wako ni equal to zero. Ushauri tu.
   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu does not matter upo wapi kwa quantity ya 3 kuletewa mzigo itakuwa ni kupoteza muda (wakati wewe unahitaji urgently) pia kutokana na transport huenda mzigo ukawa bei ya juu. Kwahio kama ungetaka kupata jibu la maana na haraka labda ungeeleza upo wapi ili mtu ambae yupo karibu yako aweze kukuletea..

  Hivi unajua profit margin ya ream 3 (kwa bei ya 9,000/=) ni tshs ngapi hata kama unanunulia dar..?, mkuu Time is Money na tukianza kuongelea na kufukuzia profit margins ndogo ndogo tutakuwa tunawaste time yako mwenyewe na ya anayekutumia (unless mtu yupo hapo ulipo hata kuweka hizo ream tatu kwenye basi na kumpa konda buku tatu au tano) mzigo ukifika jamaa atakuwa kapata loss na sio profit

  Kwa ushauri nunua volumes (cartons na sio reams) tena nadhani dar ndio itakuwa cheaper kwa bongo, hapo ndio utapata angalao profit (still margins sio kubwa, unless unauza volumes)
   
 7. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu unataka kuandika talaka...
   
 8. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Napata shaka na uwezo wako wa kufikiri! tena napata shaka hasaaa!
  Kwa sababu tangazo lako kwanza halijitoshelezi, A4 ni kitu gani? basiskeli, biskuti?......aaah kumbe karatasi za A4? tani tatu au?....reams nne? We kweli kilaza, hujasema uko wapi unataka wakuletee ream nne za karatasi? hahaaa, biashara ya elf3 unataka kuletewa mpitimbi? Hivi vyuo vya kata kumbe havijawapanua mawazo watu wengine!
   
 9. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  :doh:dah...mkuu sasa naona hili jukwaa linatumika ndivyo sivyo...yaani unaagiza karatasi A4 ream 3 online?? Niliposoma hili tangazo nilielewa ni gari unahitaji kwa haraka Audi
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Uko ??
   
 11. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  naishi mwenge....
   
 12. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu mwenge A4 ream elfu 13 au sio mwenge ya Dar ?, sasa mikoani itakuwa ngapi ?, tafuta huko huko dar Mkuu karibu yako, dar ndio cheapest kuliko mikoani, na kama mtu yupo dar na alipo anauza elfu 9 au 8 by the time anachoma mafuta na kukufikia huenda atakuwa keshatumia kama buku 10 nyingine
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Achana naye huyo mkuu, Ujiji A4 elfu 10, ijekuwa Dar!!!! Halafu anakazi ya haraka!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...