Star Times Decoder For Sale

Bond James

Member
Nov 25, 2010
54
7
New Star times decoder for sale (Decoder, In door Antenna, and remote) price Tshs 40,000/=

call me on 0757-291560
 
Nimekupigia simu dakika chache zimepita lakini sina salio lakutosha. nitaongeza salio kisha nitakupigia
Ninahitaji Star Times Decoder ninatumia dish nyumbani kwangu linasumbua sana kupata chanels za kawaida tu
Asante
 
Yangu naigawa bure mwenye kuhitaji ani PM, mana hawa jamaa hamna kitu kabisa zaidi ya kujitangaza tu. Kweli nimeamini kibaya chajitangaza sana
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom