Nyumba inauzwa ipo kinondoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa ipo kinondoni

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Apr 21, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Ni nyumba kubwa ina vyumba 8. ipo barabarani kabisa gari inaingia mpaka ndani . uwanja ni mkubwa iko pembeni kabisa ya bara bara ya lami. pia nyumba nyingine inauzwa kinondoni shamba.
  Tuwasiliane Havilla Real Estate Agent 0657 14 55 55, 0755 099 291, 0686 200 117. thomasnelson564@yahoo.com, info@havilla.net
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Weka picha na bei.....
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  picha utawekewa mkuu, wamiliki huwa wanatanguliza taarifa then nasi tunakwenda kuipiga picha bei 250m inazungumzika tuwasiliane
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hiyo bei...lol
   
Loading...