pajero jr vs rav 4 short chasis

pajero jr vs rav 4 short chasis

tezzy

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
20
Reaction score
2
hbr wana Jamii forums, ningependa kujua kati ya pajero jr na rav 4 short chasis ipi ni imara zaidi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani (sokoni, kazini)
 
ingekuwa mimi ni wewe ningechukua rav 4....jr naona kama kilaini sana....
 
hii Pajero jr ni mistubishi.. ingine yake kimeo .. haina tofauti na RVR
 
Back
Top Bottom