Natafuta shamba lakufanyia project yangu...

cheeter

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
475
155
Habari wadau wote...Natafuta shamba lenye mazingira mazuri nikimaanisha maji ya kutosha mahali popote tu, ili nifanikishe project yangu..Kama kuna mtu ambaye anaweza nisaidia kwa hili..Tafadhali naomba anijuze kwa inbox
 
unahitaji location gani mkuu? weka maelezo kidogo ya project yako itasaidia ku-shortlist upatikanaji wa shamba
 
Back
Top Bottom