Kiwanja kinauzwa - mwanza jijini

Kiwanja kinauzwa - mwanza jijini

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,617
Kiwanja kipo Igoma - nyuma ya St. Mary Schools, ukubwa ni meta 30 x 40; hakujapimwa ila tayari kuna raia wengi wamejenga huko.
Mwenye kuhitaji anitumie Pm na kama kuna swali linakaribishwa.
 
tafadhhali, give me roughly price interval (i meant bei inarange kiasi gani). PM is my enemy!
 
Weka Bei na picha la sivyo hakiuziki humu! Huu ni ushauri tu.
 
sema bei PM siku hizi hatuelewani nae maana hajajiuzulu..
 
Back
Top Bottom