Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Niaje mazee? Nasaka machine za kusafisha picha za digital mwenye information anisaidie. Kwani nataka niingie kwenye hii industry
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cyan, Magenta, Yellow, Black. Both Web and Process in 1kg. and 20kgs. Ideal for full colour production.0787 303399 / 0683 467197 sales@chitanatz.com
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Imate Jasjam [HTC Hermes 100] Natafuta battery na housing ya Imate Jasjam haraka. Ziwe mpya au used lakini katika hali nzuri. Aina ya battery:- Standard size Li-Ion Chemistry Li-Polymer...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Heshima kwenu wadau wote, Najua kutokana na kuja kwa TV za kisasa LCD TV, LED TV and other HIGH DEFINITIONS tv wadau wengi tumeanza kuzitumia majumbani kwetu as kwenda na technologia na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau habari, nataka jua wapi naweza toa copy cd ,yani kutoka kwenye master copy cd na kutengeneza copy zingine 500, mwenye kufahamu plz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kujua ni Duka gani hapa Dar es Salaam anaweza kupata vifaaa vifuatavyo anaomba anaisadie. -Broadcasting Mixing Console -Channel Mixer -Alesis 3630...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NIMEPANGISHA FREMU KARIAKOO KWA BEI YA LAKI MBILI KILA MWEZI NIKALIPIA MILION MOJA POINT 2, YAANI Tshs. 1,200,000/= KWA KODI YA MIEZI SITA (6).MARA BAADA YA KUANZA KIJANA WANGU NINAYE MTEGEMEA...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Blackberry Torch 9800 for sale, its used and has no any problem for more details contact me on 0713079282... I won't answer anything posted here or on PM
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Wakuu yeyote mwenye iPad nlizotaja hapo juu ziwe na ukubwa wowote hata 8gb,16gb,32gb wasiliana na mm 0713079282 na bei atoe muuzaji na siokuniuliza budget yangu.
0 Reactions
0 Replies
741 Views
I need a blackberry pearl 3G at reasonable price
0 Reactions
3 Replies
758 Views
SIZE: MITA 30*30 TSH 8MIL SIZE: MITA 30*40 TSH 14MIL "UMEME, MAJI YAPO" (cell 0715055577/0769055577)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iwe na ukubwa wowote tuu kama unayo tuwaailiane kupitia kuhusu bei 0713079282
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Ipo Boko along Bagamoyo road, ina fence ya ukuta, maji na umeme. 0755858813
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayeuza NOKIA tochi yenye condition nzuri aniPM. kwa aliyeko DAR tu. BEI 10,000/=
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe na chaja,usb,earpiece Iwe ina multitasking capabilty Iwe touchscreen au qwerty Iwe in good condition Ela itatolewa kulingangana na simu kwaiyo amna exact price Aliye tayari kupewa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Toyota rav 4 nyekundu milango 5 dalali marufuku gari ya kampuni bei karibu na bure mil 10. Kumbuka ni rav4 0755923374
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa anaeuza au anafahamu wapi ntapata plz help! Thnxx
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Mambo vipi wana JR? Natafuta rottweiler puppies au mbwa wakubwa, kama kuna mtu ana information yoyote wanakopatikana naomba anisaidie. wakiwa wamecross nayo sio mbaya kupunguza ukali. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa kuna chumba na sebule na choo chake ndani kinapangishwa maeneo ya mbezi beach (ya chini) kutoka nyumba ilipo na barabara kuu ni 1KM . Hicho chumba na sebule vipo ndani ya fensi gari hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu naombeni msaada wenu wapi ntapata sticker za kuweka ukutani badala ya kupaga rangi nyumba.na bei pia ikiwezekana kwa square meter ni shilingi ngapi.hapa dar
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…